Wanawake wa Chuo Kikuu Tumaini Makumira wakiwa katika
picha ya pamoja katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani 08/03/2025
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi (katikati) akiwa pamoja
na viongozi mbalimbali wa chuo alipotembelea chuoni hapo mnamo tarehe 01/03/2025
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Faustin Mahali akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni ,
Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi alipokuja kuzuru chuoni hapo
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira na Mkuu wa Kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania Dr. Alex Malasusa
akiwatunuku wahitimu wa Shahada ya Uzamivu katika Mahafali yaliyofanyika chuoni hapo mnamo 30/11/2024
Wahitimu katika fani mbalimbali kwa mwaka 2023/2024
VICE CHANCELLOR WELCOME NOTE

I humbly invite you to study at Tumaini University Makumira and that you will enjoy being at our University. I furthermore hope that you will be able to fully focus on your studies with the necessary intensity. The years ahead of you are of extreme importance concerning academic development.

Tumaini University Makumira (TUMa) is a Christ-Centered University focusing all its programs through the guidance of and obedience to the word of God by conducting and promoting higher education, learning, and research, through scientific fact-finding and esquires to all students without any form of discrimination.

Upcoming Events
17 Mar Beginning of 2nd Semester for Degree Programmes
17 Mar Start of Special Examinations for all Programmes
18 Apr Good Friday
20 Apr Easter
21 Apr Easter Monday

News & Updates